You are here

You are here

https://d1zah1nkiby91r.cloudfront.net/s3fs-public/akdn_-_covid-19_bulletin_1_-_swahili.pdf
PDF icon Download (2.19 MB)
AKDN taarifa maalum: COVID-19

COVID-19 ni virusi vipya ambavyo huenea kupitia matone ya mate kutoka kinywani au matone kutoka pua wakati mtu aliyeambukizwa anakohoa au kupiga chafya. COVID-19 sio "tu" homa bali inaambukiza zaidi na inaweza kuenea haraka kwenye jamii zetu.